Skip to main content

ZIJUE SABABU KUMI KWA NINI NYWELE ZAKO ZINANYONYOKA









ZIJUE SABABU KUMI KWA NINI NYWELE ZAKO ZINANYONYOKA





Kama  uemgundua  nywele  zako  zinanyonyoka, usi panic. Sababu  inaweza  kuwa  rahisi. Inaweza  kuwa  ni  ukosefu  wa  vitamin  au  sababu  za  kinasaba ( urithi ).
Zifutazo  ni  sababu  kwa nini  nywele  zako  zinanyonyoka.
1. Stress
Kila  aina  ya   physical and emotional pain   inaweza  kusababisha  kunyonyoka  kwa  nywele.  .  Ajali  ya  gari  au  kufanyiwa  upasuaji   vinaweza  kukusababishia  stress  ambayo  itakuletea  kunyonyoka  kwa  nywele  zako.   Emotional stress  hazisababishi  kunyonyoka  kwa  nywele   lakini  inaweza  kutokea  pale  unapokuwa  katika  wakati  mgumu  kisaikolojia  kama  vile  kumpoteza  mtu  wako  wa  karibu  kutokana  na  kifo  au  kuachwa  kimapenzi. Hata  hivyo,. Baada  ya  wakati  huo  mgumu, nywele  zako  zitaanza  kuota  tena   baada  ya  miezi  sita.

2. Homoni

Kunyonyoka  kwa  nywele  kunaweza  kuwatokea  wanawake  w alio  katika  menopause  kutokana  na  kuadilika  kwa  viwango  vya   homoni.  Inaweza  kutokea  pia  kwa  wanawake  wanaotumia  vidonge  vya uzazi  wa  mpango  hususani  wanapokuwa  wana  ahirisha  mara  kwa  mara  zoezi  la  kutumia  vidonge  hivyo.  Unashauriwa  kama  unatumia  vidonge  kwa  uzazi  wa  mpango, basi  hakikisha  unazingatia  ratiba  na  usiahirishe  hata  mara  moja.

3. Ukosefu  wa  Protini  au  Hamirojo

Ukosefu  wa  protini  unaweza  kudhoofisha   ukuaji  wa  nywele au  kusababisha  kunyonyoka  kwa  nywele kabisa  na  hatimaye  kuwa  na  kipara  kabisa.

4. Ujauzito

Ujauzito  ni  miongoni  mwa mambo  yanayo  leta physical stresses and there are also na  pia  huleta  mabadiliko  ya  homoni. Kunyonyoka  kwa nywele  hutokea  baada  ya  kujifungua.
5. Kurithi
If any of your parents at some time started to lose hair, it is very possible for the same thing to happen to you.
Kama   mmoja  kati  ya  wazazi  wako  au  babu  zako  wa  upande  wa  baba  au  mama  aliwahi  kuwa  na  tatizo  la  kunyonyoka  nywele  au  kuwa  na  kipara  kabisa, basi kuna  uwezekano  mkubwa  sana  kwa  jambo  hilo  kutokea  kwako  pia  kwa  sababu  za  urithi.  Hakuna  maelezo  yoyote  ya  kitabu  kuhusu  jinsi  ya  kukinga  suala  hili , hata  hivyo  unaweza  kujaribu  kutumia  vyakula  na  dawa  mbalimbali  bila  kujali  sababu  iliyo  fanya  unyonyoke  nywele  au  kuwa  na  kipara.

6. Vinasaba vya  kiume

Tafiti  mbalimbali  za  kisayansi  zinaonyesha  kuwa, wanaume  wengi  wana anza  kuonyesha   dalili za  kunyonyoka  mwele  wakiwa  na  umri  wa  kuanzia  miaka  sitini ( 60) na  kuendelea. So  kama  wewe  ni  mwanaume mwenye  umri  wa  kuanzia  miaka  60  na  kuendelea  na  nywele  zako zimeanza  kuonyesha  dalili  za  kunyonyoka, huna  haja  ya  kupanic  wala  kutafuta  tiba, kwani  suala  hilo  ni  la  kawaida  kabisa kwa  wanaume  wenye  umri  wako.

7. Anemia

Anemia   husababishwa  na  ukosefu  wa  madini  ya  chuma  katika  damu. Watu  wengi  wanasumbuliwa  na  tatizo  hili  (anemia ). Hata  hivyo, ili  kupambana  na  tatizo  hili  unachotaiwa  kufanya  ni  kuzingatia  matumizi  ya  vyakula  vyenye  madini  ya  chuma  katika  mlo  wako.

8. Matumizi  ya  vitamin  A  kupita  kiasi.

Malimbikizo   ya  vitamin  A  mwilini  husababisha kunyonyoka  kwa  nywele. Hata  hivyo  kunyonyoka  kwa nywele  kunako  sababishwa  na  malimbikizo  ya  vitamin A  mwilini  huwa  ni  kwa muda  tu.  Nywele  zako  zitarejea  katika  hali  yake  ya  kawaidautakapo  punguza  matumizi  ya  vyakula vyenye vitamin  A  kwa wingi  kupita  kiasi kwa  sababu  mwili  wako utaweza  kubalance  vitamin zote  mwilini.

9. Kupunguza  uzito  kwa  haraka.

Kupungua  uzito  kwa  haraka  kunaweza  kukufurahisha. Lakini  hata  hivyo, hii  inaweza  kukusababishia  kunyonyoka  kwa  nywele  kutokana  na  stress  zilizo  sababishwa  katika  mwili  wako.

10. Matatizo  kwenye  tezi  aina  ya  thyroid  ( Thyroid  Gland )

Thyroid gland  ina husika  na   michakato  mbalimbali  katika  mwili  wa  mwanadamuikiwemo  ukuaji  wa  nywele.   Kama  tezi  hii  haizalishi  homoni  za  kutosha, inaweza  kusababisha  kunyonyoka  kwa  nywele.  Ukiwa  katika  situation  hii, unashauriwa  kumuona  daktari  kwa  ushauri  zaidi.
DAWA  ASILIA  YA  KUTIBU  TATIZO  LA  UPARA NA  KUKATIKA   KWA  NYWELE.

Tunayo  dawa  nzuri  ya asili, ambayo  hutibu  kipara  pamoja  na  tatizo  la  ku katika  katika  kwa  nywele.  Dawa  hii  asilia  isiyo  na  kemikali  yoyote, mbali  na  kutibu  na kumaliza  kabisa  tatizo  la  kipara  na  kukatika  katika  kwa  nywele, pia  inasaidia  kurefusha  nywele  pamoja  na  kuimarisha  afya  ya  nywele.

DOZI  YA  DAWA : Dozi  kamili  ya  dawa  hii  hutumika  kwa  muda  wa  siku  tisini  mfululizo.
Dozi  ya  kwanza  hutumika  kwa  siku  thelathini, dozi  ya  pili  hutumika  kwa  siku  thelathini  na  dozi  ya  tatu  hutumika  kwa  siku  thelathini. Jumla  ni  siku  tisini.

BEI  YA DAWA: DOZI  YA  DAWA  HII, INAUZWA  KWA  SHILINGI  ELFU  THEMANINI (Tshs.80,0000)
  TU  KWA  KILA  DOZI.
JINSI  YA  KUIPATA  DAWA  HII: DAWA  HII  INAPATIKANA  KATIKA  DUKA  LA KUUZA  DAWA  ASILIA  LA  NEEMA  HERBALIST  &  NUTRITIONAL  FOODS  CLINIC  LILILOPO JIJINI  DAR  ES  SALAAM  KATIKA  ENEO  LA  TABATA  MAKOKA  KARIBU  NA  SHULE  YA  SEKONDARI  YA  MTAKATIFU  ANNUARITE.
Kwa  wasio  weza  kufika  ofisini  kwetu, tunatoa  huduma  ya  kuwapelekea  dawa  mahali  walipo 
( DELIVERY )
Kwa  wateja  wa  Zanzibar, tunawatumia  dawa kwa  kutumia  usafiri  wa  boti. Kwa  wateja  wa  mikoani, tunawatumia  dawa  kwa  njia  ya  usafiri  wa  mabasi  na  kwa  wateja  waliopo  ughaibuni, tunawatumia  dawa  kwa  njia  ya  POSTA  au  DHL.

Kwa  mahitaji  ya  dawa  hii  wasiliana  nasi  kwa  simu  0766538384.
Na  kwa  taarifa  zaidi, kuhusu  huduma  zetu  nyinginezo, endelea  kutembelea:

Comments

Popular posts from this blog

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ya  kupata  wapenzi  wa  kike  ama  kuoa  na  wengine  huendelea  na  tabia  hiyo  hata  baada  ya  kuoa .  Zipo  sababu  mbalimbali  zinazo  wapelekea  wanaume  kupiga  punyeto, ila  kubwa  kati  ya  hizo  ni  pamoja  na  kutokuwa  na  wapenzi, kutokuwa  na  wapenzi  wanao  kidhi vigezo  vyao, kuwa  katika  mazingira  yasiyokuwa  na  wanawake  ( mfano  katika  shule  za  sekonda

CHANZO NA TIBA ASILIA YA TONSILS

Dawa ya TONSILS ni (kugargar)  kusukutuwa maji yalokuwa si moto sana pamoja na chumvi mara 4 kwa siku yafike kooni. Pia unatakiwa usitumie pili pili manga wala tangawizi. Kwani watu wengi utasikia wanakunywa chai ya tangawizi na soup iliyojazwa pili pili manga. Kumbe unaona vizuri wakati unapokunywa lakini huwa unayavimbisha matonsils kwani baada ya nusu saa utaona unaumwa kuliko mwanzo na homa kuja juu. Uzuri kuwa unakunywa maji ya moto moto. Vile vile kuchukuwa mdomo wako na kuweka kwenye goti na kuwa unalipuliza bila kutoka pumzi mara kwa mara na kama hufikii goti lako basi unaweza kuchukuwa kanga na kufanya mfano wa mpira na kuwa unapuliza kila utakapokuwa na wakati, hii pia inasaidia. Usiwe unazungumza sana isipokuwa kwa dharura kwani ujaribu utakavyoweza upepo usipite kwenye mdomo wako. Sio lazima unywe maji baridi ndio upate Tonsils mfano A/c linapofanya kazi upepo wa baridi unapita kwenye mdomo wako basi unapata Tonsils Au wakati unapolala na A/c linafanya ka

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na  kuwa  mgumu  kama  msumari. Na  hatua  ya  pili   ni  lazima, uume  wake  uendelee  kusimama  kwa  muda  mrefu  wakati  wa  tendo  la  ndoa.  Hatua  zote  mbili  zinapo  kamilika, ndipo  tunapo  pata  kitu  kinaitwa  STRONGER  AND  LONGER  ERECTION JINSI  HATUA  ZA  KUSIMAMA  KWA  UUME  ZINAVYO  TOKEA. 1. HATUA    YA  KWANZA: DAMU  KUTIRIRIKA  KWA