Skip to main content

FAIDA ISHIRINI ZA KIAFYA ZA BAMIA




Bamia  ni  mboga  maarufu  hapa  Tanzania. Mbali  na  kuwa na  ladha  nzuri, lakini  pia  bamia  ina faida  mbalimbali  za  kiafya  kwa  mwili  wa  mwanadamu.
Zifuatazo  ni  faida  ishirini  ( 20 )  za  kiafya  za  mboga  mboga  aina  ya  bamia.
1.    Inapunguza  kolestrol
2.    Inasaidia  kuondoa  vimelea  vya  sumu  kwenye  ngozi.
3.    Inasaidia  katika  kutibu  magonjwa  mbalimbali  ya  zinaa  kama  vile  kaswende, kisonono.
4.    Vilevile  inaponya  tatizo  la  kwenda  hedhi  mara  kwa  mara na  chango la kike
5.    Inasaidia  kutibu    pumu  ( asthma)
6.    Inaongeza  kinga  ya  mwili
7.    Ina  utajiri  mkubwa  wa  virutubisho  aina  ya  fibre
8.    Ina  utajiri  mkubwa  wa  virutubisho  mwili  aina  ya  protini  (  hamirojo )
9.    Ina saidia  kuimarisha  afya  ya  nywele
10.                       Inasaidia  kupambana  na  tatizo  la  uchovu  wa  mwili, na  msongo  wa  mawazo.
11.                       Inasaidia  kutibu  tatizo  la  kukosa  choo.
12.                       Inawasaidia  wanao  sumbuliwa  na  tatizo  la  kisukari
13.                       Inasaidia  kusafisha  damu
14.                       Inasaidia  kuponya  mafua
15.                       Inasaidia  kuondoa  sumu  mwilini
16.                       Inasaidia  kutibu  vidonda  vya  tumbo
17.                       Inasaidia  kukinga   tatizo  la  anemia
18.                       Ina  kinga  dhidi  ya  utapiamlo (unene  uliopitiliza )
19.                       Inasaidia   kuimarisha  mifupa
20.                       Inasaidia  kuimarisha  mfumo   wa  uonaji


IMEANDALIWA  NA  NEEMA  HERBALIST  0766538384.

Comments

  1. nasikia sio mzuri kwa wanaume coz inapunguza nguvu za kiume ni kweli ?

    ReplyDelete
  2. Tehe tehe ......unagusa very sensitive matter,utatisha watu waache kabisa kula bamia

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ya  kupata  wapenzi  wa  kike  ama  kuoa  na  wengine  huendelea  na  tabia  hiyo  hata  baada  ya  kuoa .  Zipo  sababu  mbalimbali  zinazo  wapelekea  wanaume  kupiga  punyeto, ila  kubwa  kati  ya  hizo  ni  pamoja  na  kutokuwa  na  wapenzi, kutokuwa  na  wapenzi  wanao  kidhi vigezo  vyao, kuwa  katika  mazingira  yasiyokuwa  na  wanawake  ( mfano  katika  shule  za  sekonda

CHANZO NA TIBA ASILIA YA TONSILS

Dawa ya TONSILS ni (kugargar)  kusukutuwa maji yalokuwa si moto sana pamoja na chumvi mara 4 kwa siku yafike kooni. Pia unatakiwa usitumie pili pili manga wala tangawizi. Kwani watu wengi utasikia wanakunywa chai ya tangawizi na soup iliyojazwa pili pili manga. Kumbe unaona vizuri wakati unapokunywa lakini huwa unayavimbisha matonsils kwani baada ya nusu saa utaona unaumwa kuliko mwanzo na homa kuja juu. Uzuri kuwa unakunywa maji ya moto moto. Vile vile kuchukuwa mdomo wako na kuweka kwenye goti na kuwa unalipuliza bila kutoka pumzi mara kwa mara na kama hufikii goti lako basi unaweza kuchukuwa kanga na kufanya mfano wa mpira na kuwa unapuliza kila utakapokuwa na wakati, hii pia inasaidia. Usiwe unazungumza sana isipokuwa kwa dharura kwani ujaribu utakavyoweza upepo usipite kwenye mdomo wako. Sio lazima unywe maji baridi ndio upate Tonsils mfano A/c linapofanya kazi upepo wa baridi unapita kwenye mdomo wako basi unapata Tonsils Au wakati unapolala na A/c linafanya ka

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na  kuwa  mgumu  kama  msumari. Na  hatua  ya  pili   ni  lazima, uume  wake  uendelee  kusimama  kwa  muda  mrefu  wakati  wa  tendo  la  ndoa.  Hatua  zote  mbili  zinapo  kamilika, ndipo  tunapo  pata  kitu  kinaitwa  STRONGER  AND  LONGER  ERECTION JINSI  HATUA  ZA  KUSIMAMA  KWA  UUME  ZINAVYO  TOKEA. 1. HATUA    YA  KWANZA: DAMU  KUTIRIRIKA  KWA