Skip to main content

Faida ya kutumia mboga ya kabichi kwa chakula na tiba






KABICHI
Kabichi linaweza kuliwa bichi, Likichanganywa kwenye kachumbari au kupikwa na kula. Kabichi lina kalonzi kidogo Lakini lina vitamini c nyingi sana.
Wataalam wanatuambia kabichi lina madini ya calcium na chuma pia yapo.
Linaponyesha vidonda vya tumbo linapotumika katika mfumo wa juisi.ukishamaliza
Kutengeneza juisi ni vyema kuinywa mara moja kabla haijakaa sana.
Glasi moja ya juisi ya kabichi inasaidia kuondoa mhemko au msongo kwenye Akili, huondoa woga
kuumwa kichwa n.k husaidia sana kuponya kichwa hasa kichwa kinachouma mchana.
Ukijisikia vibaya kunywa juisi ya kabichi si vibaya kama Utachanganya na Asali au juisi ya karoti
kwani nayo ina faida nyingi kwa Afya ya mwanadam.
Kwa tatizo la pumu:
Chukua ml 200 Za juisi ya karoti ongeza ml 100 za juisi ya spinachi kunywa mara 3 kwa siku kwa
muda wa miezi mitatu utapona kabisa. katika hiyo miezi mitatu kula kachumbari ya kabichi na
spinachi bila chakula kingine muda wowote.
Unakula kachumbari peke yake bila kuchanganya na mlo mwingine. changanya nyanya kitunguu
maji na limao kidogo.
Kuondoa maji meupe katika macho changanya juisi ya kabichi na juisi ya kitunguu na Asali kisha tia
machoni matone yanasafishika na kuondoka kabisa yale maji meupe.
Ugonjwa wa saratani (cancer) ni miongoni mwa magonjwa hatari yanayosumbua watu
duniani hivi sasa, Tanzania ikiwemo.
Wagonjwa wanaongezeka kila kukicha katika Hospitali ya Ocean Road jijini Dar es Salaam,
ambayo ni maalum kwa ugonjwa huu.
Katika makala ya leo, tutajifunza faida za kabichi katika mapambano dhidi ya ugonjwa huo,
licha ya kuchukuliwa kama ni mboga ya kimaskini na ambayo huliwa kwa shida zaidi kuliko
kimanufaa ya kiafya.
Ingawa inaonekana kuwa kabichi ni miongoni mwa mboga za majani zinazolimwa kwa wingi
na kusambazwa kwenye masoko mengi nchini, hasa katika miji mikubwa, lakini ni watu
wachache sana wanaopenda kula mboga hii.
Katika miji mikubwa, kabichi inatumika zadi kwa walaji wa chips. Hata hivyo hawaitumia
ipasavyo kwa sababu huwa inapikwa na kukaangwa kwa mafuta kwa muda mrefu na hivyo
kupoteza baadhi ya virutubisho vyake muhimu.
KINGA DHIDI YA SARATANI

Miongoni mwa faida nyingi zinazopatikana kwa kula kabichi (nyeupe na nyekundu),

inayoongoza ni ile ya kutoa kinga dhidi ya ugonjwa hatari wa saratani.


Inaelezwa kuwa zaidi ya tafiti 475 zimefanyika kuhusu virutubisho vinavyopatikana kwenye

kabichi na kuthibitisha kuwa vina uwezo wa kuzuia ugonjwa wa saratani na wakati mwingine

kutibu.


Kabichi imeonekana kuwa na uwezo wa kipekee katika kupambana na ugonjwa huu

kutokana na kuwa na kiasi kikubwa cha aina tatu muhimu za virutubisho;


‘Antioxidant’, ‘Anti-inflammatory’ na ‘Glucosinolates,’ ambazo zina uwezo wa kudhibiti

magonjwa nyemelezi kadhaa ambayo husababisha saratani za aina mbalimbali mwilini.


Kwa kuzingatia madhara na mateso yatokanayo na ugonjwa wa saratani, na kwa kuzingatia

upatikanaji wa kabichi usiokuwa na gharama, huna sababu ya kupuuzia ulaji wake. Laiti kama

watu wote tungejua sawasawa faida za kabichi, bila shaka mboga hii ingekuwa ghali kuliko

hata samaki.


AHUENI YA VIDONDA VYA TUMBO

Mbali ya kuwa na uwezo wa kutoa kinga dhidi ya ugonjwa wa saratani, juisi ya kabichi

inaelezwa kuwa na faida nyingi tumboni, hasa kwa wale wenye matatizo ya vidonda vya

tumbo (peptic ulcers). Ikitumika mara kwa mara huwa kama tiba kwao. Hali kadhalika mfumo

wa usagaji chakula tumboni, huwa imara.


HUIMARISHA MFUMO WA MOYO

Utafiti mwingine uliofanyika kuhusu kabichi umeonesha kuwa mboga hii huimarisha mfumo

mzima wa moyo kwa kudhibiti utengenezwaji wa lehemu (cholesterol) mbaya mwilini ambayo

inapozidi mwilini, husababisha matatizo ya moyo.


VITAMINI ZINAZOPATIKANA KWENYE KABICHI

Ndani ya kabichi, kuna kiwango cha kutosha cha aina mbalimbali za vitamin, hususan Vitamin

K, Vitamin B1, Vitamin B2, Vitamin A na Vitamin C. Aidha, kabichi ina kiasi kingi cha kambalishe

(fiber) Manganizi (Manganese), Potashiamu (Potassium) na Fatty-3 acids. Vyote hivi ni kinga ya

mwili dhidi ya magonjwa nyemelezi.


Ili kupata faida za kabichi na kujenga kinga imara dhidi ya magonjwa ya saratani, weka

mazoea ya kula kabichi mara kwa mara, angalau mara tatu kwa wiki, kwa namna ambayo

utaona mwenyewe inafaa, iwe kama mboga au kachumbari.

Comments

Popular posts from this blog

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ya  kupata  wapenzi  wa  kike  ama  kuoa  na  wengine  huendelea  na  tabia  hiyo  hata  baada  ya  kuoa .  Zipo  sababu  mbalimbali  zinazo  wapelekea  wanaume  kupiga  punyeto, ila  kubwa  kati  ya  hizo  ni  pamoja  na  kutokuwa  na  wapenzi, kutokuwa  na  wapenzi  wanao  kidhi vigezo  vyao, kuwa  katika  mazingira  yasiyokuwa  na  wanawake  ( mfano  katika  shule  za  sekonda

CHANZO NA TIBA ASILIA YA TONSILS

Dawa ya TONSILS ni (kugargar)  kusukutuwa maji yalokuwa si moto sana pamoja na chumvi mara 4 kwa siku yafike kooni. Pia unatakiwa usitumie pili pili manga wala tangawizi. Kwani watu wengi utasikia wanakunywa chai ya tangawizi na soup iliyojazwa pili pili manga. Kumbe unaona vizuri wakati unapokunywa lakini huwa unayavimbisha matonsils kwani baada ya nusu saa utaona unaumwa kuliko mwanzo na homa kuja juu. Uzuri kuwa unakunywa maji ya moto moto. Vile vile kuchukuwa mdomo wako na kuweka kwenye goti na kuwa unalipuliza bila kutoka pumzi mara kwa mara na kama hufikii goti lako basi unaweza kuchukuwa kanga na kufanya mfano wa mpira na kuwa unapuliza kila utakapokuwa na wakati, hii pia inasaidia. Usiwe unazungumza sana isipokuwa kwa dharura kwani ujaribu utakavyoweza upepo usipite kwenye mdomo wako. Sio lazima unywe maji baridi ndio upate Tonsils mfano A/c linapofanya kazi upepo wa baridi unapita kwenye mdomo wako basi unapata Tonsils Au wakati unapolala na A/c linafanya ka

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na  kuwa  mgumu  kama  msumari. Na  hatua  ya  pili   ni  lazima, uume  wake  uendelee  kusimama  kwa  muda  mrefu  wakati  wa  tendo  la  ndoa.  Hatua  zote  mbili  zinapo  kamilika, ndipo  tunapo  pata  kitu  kinaitwa  STRONGER  AND  LONGER  ERECTION JINSI  HATUA  ZA  KUSIMAMA  KWA  UUME  ZINAVYO  TOKEA. 1. HATUA    YA  KWANZA: DAMU  KUTIRIRIKA  KWA