Skip to main content

SAFISHA INI LAKO KWA KUTUMIA MCHANGANYIKO WA JUISI YA LIMAO NA MAFUTA YA MZEITUNI.




Ini  ni  miongoni   mwa ogani muhimu katika mwili wa binadamu. Pia ini ni mojawapo ya viungo vinavyohusika katika kutoa uchafu. Ini hutumika pia katika uhifadhi wa chakula katika mwili wa binadamu. Chakula kinapofonjwa kuingia mwilini katika utumbo mwembamba huelekea kwanza katika ini. Ini husafisha sumu katika mwili. Kunapokuwa na uongezeko la chakula cha protini, ni jukumu la ini kurekebisha. Uchafu unaotolewa na ini huingizwa katika mfumo wa mmeng'enyo wa chakula na hutolewa pamoja na kinyesi.




Jinsi  Ya  Kusafisha   Ini
Mahitaji

i.                   Juisi  ya  limao  kijiko  kimoja  kikubwa
ii.                 Mafuta  ya  mzaituni  kijiko  kimoja  kikubwa.

MATAYARISHO :
Changanya   kijiko  kimoja  kikubwa  cha  juisi   ya  limao  na  kijiko  kimoja  cha  mafuta  ya  mzeituni.

MATUMIZI  :  Tumia  dawa  yako  mara  moja  kwa  siku  kila  siku  asubuhi  kabla  haujala  wala  kunywa  kitu  chochote  kile. Unaweza  kuwa  unafanya  hivyo  kila  siku. ( Hakuna  limitation  ya  muda  wa  kutumia  tiba  hii, unaweza  kuifanya  kuwa  sehemu  ya  maisha  yako  ).  Baada  ya  kutumia  tiba  hii  unaweza  kupata  kifungua  kinywa.

MABADILIKO:  Utaanza  kuona  mabadiliko  ama  matokeo  ya  tiba  hii  ndani  ya  mwezi  ya  kipindi  cha  mwezi  mmoja  tangu  uanze  kutumia  tiba  yako.

FAIDA  ZA  TIBA  HII :

Mbali  ya  kufanya  kazi  ya  kusafisha  ini  ambayo  ni  muhimu  sana  katika  mwili  wa  mwanadamu,   tiba  hii  ina  faida  nyingine lukuki  katika  mwili  wako. Utapata  kuona  faida  za  tiba  hii  kadri  utakavyo  kuwa  unaendelea  kuitumia.  Faida  hizo  ni  kama  ifuatavyo :

i.                   Utapata  muonekano  mzuri  wenye  afya  njema.

ii.                 Kama  una  tatizo  la  kuwa  na  madoa  doa  meusi  chini  ya  macho  yako, litaondoka  mara  moja.

iii.              Afya  ya  ngozi  yako  itaimarika

iv.              Utakuwa  na  utazidi  kuwa  na  muonekano  wa  ujana.

v.                 Kama  ulikuwa  una  tatizo  la  kukosa  choo, bas  lita isha  na  kukoma  mara  moja.

UNA  NGOJA  NINI? ANZA  LEO  KUTUMIA  TIBA  HII, UPATE  KUZIONA  FAIDA  ZAKE.
IMETAYARISHWA  NA  NEEMA  HERBALIST  BLOG  0766538384.

Comments

Popular posts from this blog

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ya  kupata  wapenzi  wa  kike  ama  kuoa  na  wengine  huendelea  na  tabia  hiyo  hata  baada  ya  kuoa .  Zipo  sababu  mbalimbali  zinazo  wapelekea  wanaume  kupiga  punyeto, ila  kubwa  kati  ya  hizo  ni  pamoja  na  kutokuwa  na  wapenzi, kutokuwa  na  wapenzi  wanao  kidhi vigezo  vyao, kuwa  katika  mazingira  yasiyokuwa  na  wanawake  ( mfano  katika  shule  za  sekonda

CHANZO NA TIBA ASILIA YA TONSILS

Dawa ya TONSILS ni (kugargar)  kusukutuwa maji yalokuwa si moto sana pamoja na chumvi mara 4 kwa siku yafike kooni. Pia unatakiwa usitumie pili pili manga wala tangawizi. Kwani watu wengi utasikia wanakunywa chai ya tangawizi na soup iliyojazwa pili pili manga. Kumbe unaona vizuri wakati unapokunywa lakini huwa unayavimbisha matonsils kwani baada ya nusu saa utaona unaumwa kuliko mwanzo na homa kuja juu. Uzuri kuwa unakunywa maji ya moto moto. Vile vile kuchukuwa mdomo wako na kuweka kwenye goti na kuwa unalipuliza bila kutoka pumzi mara kwa mara na kama hufikii goti lako basi unaweza kuchukuwa kanga na kufanya mfano wa mpira na kuwa unapuliza kila utakapokuwa na wakati, hii pia inasaidia. Usiwe unazungumza sana isipokuwa kwa dharura kwani ujaribu utakavyoweza upepo usipite kwenye mdomo wako. Sio lazima unywe maji baridi ndio upate Tonsils mfano A/c linapofanya kazi upepo wa baridi unapita kwenye mdomo wako basi unapata Tonsils Au wakati unapolala na A/c linafanya ka

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na  kuwa  mgumu  kama  msumari. Na  hatua  ya  pili   ni  lazima, uume  wake  uendelee  kusimama  kwa  muda  mrefu  wakati  wa  tendo  la  ndoa.  Hatua  zote  mbili  zinapo  kamilika, ndipo  tunapo  pata  kitu  kinaitwa  STRONGER  AND  LONGER  ERECTION JINSI  HATUA  ZA  KUSIMAMA  KWA  UUME  ZINAVYO  TOKEA. 1. HATUA    YA  KWANZA: DAMU  KUTIRIRIKA  KWA