Skip to main content

BAADA YA ONYO LA P-SQUARE,DAVIDO KUTUMIA MILIONI 450 KUMMALIZA DIAMOND!!! KUFANYA NYIMBO YA KIHISTORIA NA ALI KIBA


Davido  na  Diamond
SASA  ni  nguvu  ya  pesa! Kuna  usemi  wa  kiswahili  unaosema  kuwa  vita  vya  panzi  ni  furaha  kwa  kunguru.   Ukweli wa  usemi   huu  umejidhihirisha  hivi  karibuni  baada  ya  gazeti  hili  kunasa  habari  kuwa  mkali  kutoka  nchini  Nigeria, Davido  amepanga  kutumia  kiasi  cha  milioni  450  kwa  ajili  ya  kufanya   nyimbo  ya  pamoja  na  Ali  Kiba  akiwa  na  lengo la  kuvunja  kabisa  ufalme  wa  Diamond.



Ali  Kiba.

Habari  hii  imekuja  muda  mfupi  tangu  kundi  mahiri  Afrika  linalo  undwa  na  mapacha  kutoka  nchini  Nigeria  Peter  na  Paul  au  "P-Square" kutangaza  kuwa  kama  Davido  anataka  kuendelea  kutamba  kwenye  ramani  ya  muziki  basi  ni  bora  akajiweka  pembeni  na  Diamond.

Kauli  hii  ya  P Square  inaonekana  kumkera  sana  Davido  na  sasa  moja  katika  mipango  yake  ni  kutumia  kiasi  kinacho  kadiriwa  kufikia  milioni  450  za  kitanzania  kufanya  nyimbo  ya  pamoja  na  mkali  mwingine  kutoka  Tanzania   Ali  Kiba.

Davido  ana  amini  anaweza  kutumia  bifu  la  chini  kwa  chini  baina  ya  Ali  Kiba  na  Diamond  kurudisha  heshima  yake  inayo  anza  kupotea  tangu  ajiingize  kwenye  malumbano  na  Diamond.

Ikumbukwe  kuwa  Davido  na   Diamond  walikuwa  marafiki  wakubwa  kiasi  cha  Diamond  kuamua  kufanya  nae  remix  ya  wimbo  " My  Number  One "  ulio fanya  vizuri  barani  Afrika  na  kuweza  kutwaa   tuzo  ya  wimbo  bora  wa  kushirikisha  Afrika.
CHANZO : GAZETI  LA LETE MAMBO.

Comments

Popular posts from this blog

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ya  kupata  wapenzi  wa  kike  ama  kuoa  na  wengine  huendelea  na  tabia  hiyo  hata  baada  ya  kuoa .  Zipo  sababu  mbalimbali  zinazo  wapelekea  wanaume  kupiga  punyeto, ila  kubwa  kati  ya  hizo  ni  pamoja  na  kutokuwa  na  wapenzi, kutokuwa  na  wapenzi  wanao  kidhi vigezo  vyao, kuwa  katika  mazingira  yasiyokuwa  na  wanawake  ( mfano  katika  shule  za  sekonda

CHANZO NA TIBA ASILIA YA TONSILS

Dawa ya TONSILS ni (kugargar)  kusukutuwa maji yalokuwa si moto sana pamoja na chumvi mara 4 kwa siku yafike kooni. Pia unatakiwa usitumie pili pili manga wala tangawizi. Kwani watu wengi utasikia wanakunywa chai ya tangawizi na soup iliyojazwa pili pili manga. Kumbe unaona vizuri wakati unapokunywa lakini huwa unayavimbisha matonsils kwani baada ya nusu saa utaona unaumwa kuliko mwanzo na homa kuja juu. Uzuri kuwa unakunywa maji ya moto moto. Vile vile kuchukuwa mdomo wako na kuweka kwenye goti na kuwa unalipuliza bila kutoka pumzi mara kwa mara na kama hufikii goti lako basi unaweza kuchukuwa kanga na kufanya mfano wa mpira na kuwa unapuliza kila utakapokuwa na wakati, hii pia inasaidia. Usiwe unazungumza sana isipokuwa kwa dharura kwani ujaribu utakavyoweza upepo usipite kwenye mdomo wako. Sio lazima unywe maji baridi ndio upate Tonsils mfano A/c linapofanya kazi upepo wa baridi unapita kwenye mdomo wako basi unapata Tonsils Au wakati unapolala na A/c linafanya ka

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na  kuwa  mgumu  kama  msumari. Na  hatua  ya  pili   ni  lazima, uume  wake  uendelee  kusimama  kwa  muda  mrefu  wakati  wa  tendo  la  ndoa.  Hatua  zote  mbili  zinapo  kamilika, ndipo  tunapo  pata  kitu  kinaitwa  STRONGER  AND  LONGER  ERECTION JINSI  HATUA  ZA  KUSIMAMA  KWA  UUME  ZINAVYO  TOKEA. 1. HATUA    YA  KWANZA: DAMU  KUTIRIRIKA  KWA