Skip to main content

Posts

Showing posts from August, 2014

JINSI YA KUANDAA NA KUTAYARISHA LISHE YA KUONGEZA NA KUNENEPESHA MWILI.

Lishe   ya   kuongeza   na   kunenepesha   mwili ni   lishe   maalumu   kwa   ajili   ya    mtu   anaye   taka   kuongeza   ama   kunenepesha   mwili   wake kwa  kutumia  lishe  pekee  bila  kulazimika  kutumia  dawa  za  kuongeza  ukubwa  wa  maumbile  zenye  kemikali  na  side  effects  mbalimbali.  Lishe  huongeza  na  kunenepesha  maeneo  mbalimbali  ya  mwili  wa  mtumiaji  na  kumuongezea  mvuto wake. Ifuatayo   ni   namna    na   jinsi   ya   kuandaa   na   kutayarisha   lishe ya   kuongeza   na   kunenepesha   mwili. MAHITAJI : i.                  Dawa    Ya   Lishe. ii.                 Asali   ya   tende   lita   moja iii.               Vijiko   viwili   vikubwa    vya   tangawizi   ya   iliyo   sagwa. iv.              Unga   wa   lishe. v.                Maziwa    fresh   lita   moja. JINSI    YA     KUTENGENEZA     ASALI    YA     TENDE . Chukua   robo   ya   tende, kasha   changanya   na   lita   moja   ya   maji, halaf