Je unasumbuliwa na tatizo au matatizo ya kiafya ? unahitaji vyakula-lishe maalumu kwa tatizo lako la kiafya? Kama jibu ni ndio basi hii ni habari njema sana kwako. Neema Herbalist & Nutritional Foods Clinic ni kituo cha tiba asilia na vyakula-lishe. Tunapenda kuwafahamisha wateja wetu kuwa sasa tunatoa huduma ya vyakula-lishe ( Nutritional Foods ) maalumu kwa watu wanao sumbuliwa na matatizo mbalimbali ya kiafya kama vile : i. Ukosefu ama upungufu wa nguvu za kiume. ii. Tatizo la Presha na Kisukari. iii. Vidonda Vya Tumbo. iv. Tatizo la Pumu. v. Lishe maalumu ya kuondoa mafuta ya mwilini, kupunguza uzito na kuondoa vitambi. vi. Lishe maalumu kwa wanawake wajawazito na watoto. vii. Lishe maalumu kwa wazee viii.