Skip to main content

Posts

Showing posts from February, 2014

JITIBU TATIZO LA UTASA KWA NJIA ASILIA

Muigizaji  Desmond ELLIOT  akiwa  mke wake na  watoto  wake. Hakuna  jambo  zuri  kwa  mwanaume  kama  kuwa  baba   Utasa  ni   changamoto   inayo wakabili watu   wengi   hapa   Tanzania   na   duniani   kwa   ujumla. Zipo tiba  mbalimbali  za  asili  ambazo  zinatibu  tatizo  la  utasa. Miongoni  mwa  tiba  hizo  ni  pamoja  na  hii  ifuatayo ; MAHITAJI : i.                      Unga  wa  Habbat  Sawdah. ii.                     Unga  wa  Uwatu iii.                  Mbegu  Ya  Figili. iv.                  Asali v.                    Maziwa  Ya  Ngamia. Atachukua unga wa Habbat-Sawdaa, unga wa uwatu na mbegu ya figili kwa vipimo sawa, atakula kijiko kimoja asubuhi na jioni ilihali imekorogwa katika nusu kikombe cha asali, baadae MATAYARISHO i.         Chukua  vijiko  viwili  vya  vya  chai vya  unga  wa  Habbat  Sawdah ii.     Changanya  na  kijiko  kimoja  kikubwa  cha chakula  cha  unga  wa  uwatu iii.        Ongeza   kijiko kimoja cha  chai  cha 

JITIBU TATIZO LA KUKOJOA KWA NJIA ASILIA.

Unakabiliwa   na   changamoto ya kuwa   una   kojoa   bila   ya   kukusudia   wakati   wa   usiku   ukiwa   umelala? Mtoto  wako  ana kabiliwa  na  tatizo  hilo ? Kama  jibu  ni  ndio  basi  hii  ni  habari  njema  sana  kwako. Mbali na  uwepo  wa  mitishamba  inayo  tibu  tatizo  la Kukojoa  Bila  Kukusudia  ama  kujikojoloea  zipo  njia mbalimbali  zinazo  weza  kutumika  kama  tiba  ya   tatizo  la  kukojoa  bila  kukusudia. Miongoni  mwa  njia  hizo  ni  pamoja  na  hii  ifuatayo>  MAHITAJI : i.                     Habbat  Sawdah Ya  Unga. ii.                    Maganda  Ya  Mayai  Ya  Kuku  Wa  Kienyeji. iii.                 Maziwa  Fresh  Ya  N’gombe. MAYARISHO  : Chukua  maganda  ya  mayai  yaliyo  okwa  na  kusagwa, changanya  na  vijiko  viwili  vya  chai  vya  unga  wa  habbat  sawdah, kisha  tia  kwenye  kikombe  kimoja  cha  maziwa  fresh  ya  moto  halafu  kunywa  mara mbili kwa  siku  asubuhi  na  jioni  kwa  muda  wa  siku  thelath

ONDOA KITAMBI & MANYAMA UZEMBE KWA SIKU KUMI NA NNE

Neema Herbalist & Nutritional Foods Clinic ni kituo  cha   utafiti  wa dawa  za  mimea  na  tiba  mbadala. Tunayo dawa nzuri ya asili inayo ondoa kitambi na kulifanya tumbo lako kuwa flat kabisa ndani ya siku kumi na nne. Dawa ni ya asili kabisa “ Pure Herbal”, haijachanganywa na kemikali yoyote na haina side effects kwa mtumiaji . BEI YAKE NI SHILINGI ELFU HAMSINI TU ( Tshs.50,000/=) Tunapatikana jijini Dar Es salaam, katika eneo la CHANGANYIKENI karibu na CHUO CHA TAKWIMU. Kwa wasio weza kufika ofisini kwetu tunawapelekea dawa mahali walipo ( DELIVERY ) Manyama  Uzembe Kwa wateja wa mikoani, tunawatumia dawa kwa njia ya mabasi, kwa wateja walipo Zanzibar tunawatumia dawa kwa njia ya meli na kwa wateja waliopo nje ya Tanzania, tunawatumia dawa kwa njia ya DHL. Tunapatikana kwa SIMU : 0766538384.

50 SIGNS THAT SHOW YOU ARE IN A COMMITTED RELATIONSHIP

  Is your boyfriend serious about you? The 50 signs that show you're in a committed relationship Planning a holiday, driving each others' cars, having a key to your partner's house, being invited to family gatherings, posting a 'loved-up' photo on Facebook, are all signs a relationship is serious and past the 'seeing each other' phase, according to a new survey. Researchers questioned 2,000 people to reveal the top 50 things which indicate a couple are in a committed relationship. Check on it below and tell us what you think... 1. Meeting the parents 2. Exchanging house keys 3. Planning a holiday together 4. Discussing plans for the future 5. Being invited to family gatherings 6. Saying 'I love you' 7. Staying overnight at each other's houses 8. Signing Christmas / Birthday cards together 9. Seeing each other at least every other night 10. Leaving a toothbrush at each other's house 11. You tell each other absol

UNENE UNAKUSUMBUA?

Iwapo unene unakusumbua kitu cha kwanza unachotakiwa kutambua ni kwamba mwili wako unahifadhi kiasi kikubwa cha mafuta kutokana na lishe yako kuliko kile kinachotumiwa na mwili huo kama chanzo cha nishati ya kuendeshea s hughuli mbalimbali katika seli za mwili. Unapojikuta kwenye mazingira ya aina hii, ni vizuri ukatambua kuwa kuna haja ya kubadili mwelekeo wako kuhusu mambo kadhaa, na hususan lishe. Mabadiliko katika lishe ni lazima yajumuishe kanuni zifuatazo: 1. Kuachana kwa kiasi kikubwa na vyakula ambavyo baada ya kuchakatuliwa ndani ya mwili vinazalisha kiwango kingi sana cha nishati (calories); 2. Kuongeza ulaji wa vyakula ambavyo vinatumia nishati nyingi sana kuchakatuliwa ukilinganisha na kiasi cha nishati inayoongezwa mwilini na vyakula husika; 3. Kuhakikisha umeshiba kiasi cha kuridhisha na hususan nyakati za mchana; 4. Kuongeza kwenye chakula chako viungo vinavyojulikana kwa uwezo wake wa kuchochea kasi ya uundwaji na uvunjifu wa kemikali mwilini (Spices that