Skip to main content

JIPATIE VIPODOZI ASILIA KUTOKA NEEMA HERBALIST




Neema  Herbalist  ni  wauzaji  wa  dawa  mbalimbali  asilia. Tunapenda  kuwafahamisha  wateja  wetu  kuwa  sasa  tunavyo  vipodozi  mbalimbali  asilia kama  vile lotion, shampoo, dawa  za  nywele, dawa  za  kuondoa  chunusi , mabaka  ya  ngozi, madoa  madoa, makunyanzi, & michirizi, dawa  ya kurefusha  nywele  na  kuzifanya  kuwa  nyeusi  na  zenye  afya, dawa  ya  kulainisha  ngozi  ya  uso  na  kuifanya  kuwa  nyeupe.  Vipodozi  hivi  ni  “pure  herbal” visivyo  na  kemikali  yoyote  wala  side  effect  kwa  mteja.

Baadhi  ya  vipodozi  na  sabuni  tulizo nazo  ni  pamoja  na  :


1.  Pomegranate   Soap
Ni sabuni  dawa  asilia  inayo  tengenezwa  kwa  kutumia   mti  wa  mkomamanga  ambao  una  utajiri  wa  vitamin  lukuki  zenye  faida  kibao  kwa  afya  ya  ngozi  ya  mwanadamu.
Matumizi  ya  sabuni  hii  husaidia  kufanya  kazi  zifuatazo
i.                   Ku’ngarisha  ngozi
ii.                Kulainisha ngozi
iii.              Kuondoa  mabaka  ya  usoni  na  chunusi
iv.            Kuondoa  makunyanzi  ya  usoni
v.              Huifanya   ngozi  ya  mtumiaji  nyeupe na  yenye  afya  na  kuifanya  ngozi  ya  uso  wa  mtumiaji  ionekane  kama  ngozi  ya  motto  mchanga.

2.  OLIVE  &  BLACK  SEED  SOAP


i.                   Ku’ngarisha  ngozi
ii.                Kulainisha ngozi
iii.              Kuondoa  mabaka  ya  usoni  na  chunusi
iv.            Kuondoa  makunyanzi  ya  usoni
v.              Huifanya   ngozi  ya  mtumiaji  nyeupe na  yenye  afya  na  kuifanya  ngozi  ya  uso  wa  mtumiaji  ionekane  kama  ngozi  ya  motto  mchanga.


3.  WHITENING  SOAP  WITH  GARLIC

Sabuni  iliyotengenezwa  kwa  kutumia   kitunguu  swaumu  pamoja na  mchanganyiko  wa  dawa  mbalimbali  za  asili.
·       Inasaidia  kuufanya  uso   kuwa  wenye  kun’gaa  na  mn’gavu n’gavu.
·       Inasaidia  kuufanya  uso  wa  mtumiaji  kuwa  mweupe.
·       Inaondoa  makunyazi, chunusi, mabaka  ya usoni  na  madoa  doa.

4.  MUD  MASK  SOAP


·       Inasaidia  kuun’garisha  uso  na  kuufanya  kuwa  mweupe.
·       Inaondoa   vipele , chunusi  na  makunyanzi  ya  usoni.

5.  OLIVE  CREAM


Inaifanya  ngozi  ya  uso wako  kuwa  nyeupe  na  kuufanya  uso  wako  uonekane  kama  wa  mtoto.

6.   BLACK  SEED  FACE  CREAM


·       Inaifanya  ngozi  ya  uso wako  kuwa  nyeupe  na  kuufanya  uso  wako  uonekane  kama  wa  mtoto.
·       Inaondoa   chunusi, mabaka  na  makunyanzi  ya  usoni.

7.  DEAD  SEA  MUD  SOAP


Inaifanya  ngozi  ya  uso wako  kuwa  nyeupe  na  kuufanya  uso  wako  uonekane  kama  wa  mtoto.
Inaondoa   chunusi, mabaka  na  makunyanzi  ya  usoni.


8.  OLIVE  GLOSSING  SHAMPOO

Itazifanya  nywele  zako  kuwa  nyeusi  na  zenye  afya. Pia  inasaidia  katika  kukuza  nywele.

9.   OLIVE  MOISTURIZING  BODY  LOTION.
Inalainisha  ngozi  ya  mwili  na  kuifanya  kuwa yenye  afya.

10.             SHAMA  NIKHAR


Hii  ni  ina  ya  kwenye  nywele. Inasaidia  kuzifanya  nywele  kuwa  nyeusi  na  zenye  afya. Inasaidia  pia  kuzifanya  nywele   dhaifu  kuwa  zenye  afya  nzuri.

11.             MULTANI


Inasaidia   kun’garisha  ngozi  ya  usoni, kuondoa  makunyanzi, chunusi, vipele  na  madoa  doa  ya  usoni.

12.             SANDALWOOD  SOAP (SABUNI  YA  LIWA )


Inasiaidia  kulainisha  ngozi  ya  uso  na  kuufanya  kuwa  mweupe  na  wenye  kun’gaa.

Kwa  mahitaji  yako  ya  vipodozi  hivyo  hapo  juu  pamoja  na  vingine, wasiliana  nasi  kwa  simu  namba  0766538384  au  fika  katika  ofisi  zetu  zilizopo  katika  eneo  la Changanyikeni  karibu  na  Chuo  Cha  Takwimu  mbele  ya  Chuo  Kikuu  Cha  Dar  Es  salaam.



Comments

  1. mbana ujaweka namba zako za cm na pia ni bei gani na uko wapi?

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ya  kupata  wapenzi  wa  kike  ama  kuoa  na  wengine  huendelea  na  tabia  hiyo  hata  baada  ya  kuoa .  Zipo  sababu  mbalimbali  zinazo  wapelekea  wanaume  kupiga  punyeto, ila  kubwa  kati  ya  hizo  ni  pamoja  na  kutokuwa  na  wapenzi, kutokuwa  na  wapenzi  wanao  kidhi vigezo  vyao, kuwa  katika  mazingira  yasiyokuwa  na  wanawake  ( mfano  katika  shule  za  sekonda

CHANZO NA TIBA ASILIA YA TONSILS

Dawa ya TONSILS ni (kugargar)  kusukutuwa maji yalokuwa si moto sana pamoja na chumvi mara 4 kwa siku yafike kooni. Pia unatakiwa usitumie pili pili manga wala tangawizi. Kwani watu wengi utasikia wanakunywa chai ya tangawizi na soup iliyojazwa pili pili manga. Kumbe unaona vizuri wakati unapokunywa lakini huwa unayavimbisha matonsils kwani baada ya nusu saa utaona unaumwa kuliko mwanzo na homa kuja juu. Uzuri kuwa unakunywa maji ya moto moto. Vile vile kuchukuwa mdomo wako na kuweka kwenye goti na kuwa unalipuliza bila kutoka pumzi mara kwa mara na kama hufikii goti lako basi unaweza kuchukuwa kanga na kufanya mfano wa mpira na kuwa unapuliza kila utakapokuwa na wakati, hii pia inasaidia. Usiwe unazungumza sana isipokuwa kwa dharura kwani ujaribu utakavyoweza upepo usipite kwenye mdomo wako. Sio lazima unywe maji baridi ndio upate Tonsils mfano A/c linapofanya kazi upepo wa baridi unapita kwenye mdomo wako basi unapata Tonsils Au wakati unapolala na A/c linafanya ka

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na  kuwa  mgumu  kama  msumari. Na  hatua  ya  pili   ni  lazima, uume  wake  uendelee  kusimama  kwa  muda  mrefu  wakati  wa  tendo  la  ndoa.  Hatua  zote  mbili  zinapo  kamilika, ndipo  tunapo  pata  kitu  kinaitwa  STRONGER  AND  LONGER  ERECTION JINSI  HATUA  ZA  KUSIMAMA  KWA  UUME  ZINAVYO  TOKEA. 1. HATUA    YA  KWANZA: DAMU  KUTIRIRIKA  KWA