Skip to main content

FAIDA ZA KIAFYA ZA MTI WA MWEMBE.





Mti  wa  mwembe  mbali  ya  kuzaa  tunda  la  embe  ambalo  hutumika  kama  chakula  au  kinywaji  ( juisi )   chenye  ladha  ninayo  vutia, una  faida  lukuki za   kiafya  kwa  mwili  wa  mwanadamu.
Zifuatazo  ni  baadhi  ya  faida  za  kiafya  za   mti  wa  mwembe.

1.    MAJANI  YA  MTI  WA  MWEMBE  :
Majani  machanga  ya  mti  wa  mwembe  yakichemshwa huwa  na  faida  zifuatazo  ;
i.             Hutibu  pumu
ii.           Hutibu  kifua  kikavu
iii.         Hutumika  katika  kuoshea  vidonda  vitokanavyo  na  majeraha   mbalimbali  (  Majani  ya  maembe  yamethibitika  kuwa  na  uwezo  mkubwa  wa  kukausha  majeraha  ya  vidonda  )
iv.         Unga  wa  majani  ya  mwembe  hutumika  katika  kutunza  meno  ambapo  mtu  mwenye  matatizo  ya  meno  atatakiwa  kusukutua  kwa  kutumia  unga  unaotokana  na  majani  ya  mwembe.

2.  KOKWA  LA  EMBE
Unga   unaotokana  na  kokwa  la  embe  husaidia  kuzuia  kuharisha  na  kuhara  damu.


3.  T UNDA  LA  EMBE
i.             Ulaji  wa  tunda  la  embe  husaidia  kutibu  minyoo  na  kuzuia  uvujaji  wa  damu  ovyo.
ii.           Tunda  la  embe  lina  vitamin  C  na  hivyo  ulaji  wake  husaidia  kuponesha  vidonda  kwa  haraka, hivyo  basi  mlaji  sana  wa  tunda  la  embe  endapo  atapata  vidonda  basi  atapona  kwa  haraka  sana  kuliko  mtu  asiye  tumia  tunda  hili  mara  kwa  mara.
iii.         Huwasaidia  watu  wenye  matatizo  ya  kutokupata  choo.
iv.         Utumiaji  wa  maembe  mabichi  husaidia  kuondoa  mawe  kwenye  figo  na  hivyo  kuepuka  kufanyiwa  upasuaji.
v.           Embe  bichi  likichanganywa  na  chumvi  na  sukari  na  kasha  kuchemshwa    ni  tiba  ya  tatizo  la  mapigo  ya  moyo  kwenda  kwa  haraka.

MAGOME  YA  MWEMBE
Magome  ya  mti  wa  mwembe  yakichemshwa  ni  dawa  nzuri  ya  homa.

JUISI  YA  EMBE  :
Juisi  ya  embe  ikichanganywa  na  maziwa  fresh  husaidia  kurejesha  afya  ya  ,tu  aliye  dhoofika.
Vile  vile  kunusa  juisi ya  embe  kunasaidia  kuzuia  tatizo  la  kutoka  damu  puani. Hivyo  basi  juisi  ya  embe  inaweza  kutumika  kama  huduma  ya  kwanza  kwa  mtu  anaye  tokwa  na  damu  puani.

Comments

Popular posts from this blog

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ya  kupata  wapenzi  wa  kike  ama  kuoa  na  wengine  huendelea  na  tabia  hiyo  hata  baada  ya  kuoa .  Zipo  sababu  mbalimbali  zinazo  wapelekea  wanaume  kupiga  punyeto, ila  kubwa  kati  ya  hizo  ni  pamoja  na  kutokuwa  na  wapenzi, kutokuwa  na  wapenzi  wanao  kidhi vigezo  vyao, kuwa  katika  mazingira  yasiyokuwa  na  wanawake  ( mfano  katika  shule  za  sekonda

CHANZO NA TIBA ASILIA YA TONSILS

Dawa ya TONSILS ni (kugargar)  kusukutuwa maji yalokuwa si moto sana pamoja na chumvi mara 4 kwa siku yafike kooni. Pia unatakiwa usitumie pili pili manga wala tangawizi. Kwani watu wengi utasikia wanakunywa chai ya tangawizi na soup iliyojazwa pili pili manga. Kumbe unaona vizuri wakati unapokunywa lakini huwa unayavimbisha matonsils kwani baada ya nusu saa utaona unaumwa kuliko mwanzo na homa kuja juu. Uzuri kuwa unakunywa maji ya moto moto. Vile vile kuchukuwa mdomo wako na kuweka kwenye goti na kuwa unalipuliza bila kutoka pumzi mara kwa mara na kama hufikii goti lako basi unaweza kuchukuwa kanga na kufanya mfano wa mpira na kuwa unapuliza kila utakapokuwa na wakati, hii pia inasaidia. Usiwe unazungumza sana isipokuwa kwa dharura kwani ujaribu utakavyoweza upepo usipite kwenye mdomo wako. Sio lazima unywe maji baridi ndio upate Tonsils mfano A/c linapofanya kazi upepo wa baridi unapita kwenye mdomo wako basi unapata Tonsils Au wakati unapolala na A/c linafanya ka

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na  kuwa  mgumu  kama  msumari. Na  hatua  ya  pili   ni  lazima, uume  wake  uendelee  kusimama  kwa  muda  mrefu  wakati  wa  tendo  la  ndoa.  Hatua  zote  mbili  zinapo  kamilika, ndipo  tunapo  pata  kitu  kinaitwa  STRONGER  AND  LONGER  ERECTION JINSI  HATUA  ZA  KUSIMAMA  KWA  UUME  ZINAVYO  TOKEA. 1. HATUA    YA  KWANZA: DAMU  KUTIRIRIKA  KWA