Skip to main content

ADAIWA KUTUMA MAJINI ELFU MOJA NA MIA MOJA KWENYE SHULE YA MSINGI.


Mmoja wa wakazi wa kijiji cha Ikoma robanda wilayani Serengetiwakiwa amebebwa baada ya kushikwa na pepo wakati Padri Alois Magabe wa kanisa katoliki Mugumu alipokuwa kiombea wananfunzi waliokumbwa na ugonjwa wa kuanguka ikidaiwa ni pepo na kupelekea shule kufungwa














Padri Alois Magabe akiombea wanafunzi waliokumbwa na pepo katika shule ya msingi Robanda.
Wakazi wa kijiji hicho wakiombewa
Padri  Aloyce  Magabe  wa   Kanisa  Katoliki  Mugumu, wilayani  Serengeti  akiombea  mmoja  wa  wanafunzi  wa  Shule  ya  Msingi  Ikoma  Robanda, ambao  wamekuwa   wakianguka  kila  mara  ikidaiwa  kuna  " mapepo"  na  kusababisha  shule  hiyo  kufungwa. ( Picha  kwa  hisani  ya  gazeti  la  Mwananchi  )
Mmoja wa watoto akiletwa kwa boda boda akiwa amepoteza fahamu kwa ajili ya kuombewa






Mchungaji  Samson  Wahika  wa  Kanisa  la Zion lililopo  wilaya  ya  Serengeti    mkoani  Mara  amewaambia  waandishi  wa  gazeti  la  wananchi  kuwa chanzo  cha  kuanguka  na  kupagawa mapepo, wanafunzi  wa  Shule  ya  Msingi  Ikomba  Robanda  iliyopo  wilayani  Serengeti  ni  majini  yapatayo  ELFU  MOJA  NA  MIA  MOJA  yaliyotumwa  shuleni  hapo  na  mtu  aliyemtaja  kwa  jina  la  Makonga  kutoka  Arusha.

Gazeti  la  Mwananchi  toleo Na. 5010  la  Aprili  10, 2014  linamnukuu  Mchungaji  wahika  akisema  kuwa    kufuatia  maombi  anayo  yafanya amebaini  kuwa chanzo  cha  kuanguka  na  kupagawa  kwa  watoto  hao  ni  majini  ya  Freemason  kwa  sababu  watoto  hushikana  vidole  na  kuonyesha  ishara  ya  Freemason, huku  yakidai  yametoka  baharini  na  hayataki  wasome.

  Katika  mapambano  ya  maombi, yanadai  kuna  mtu  anaitwa  Makonga  kutoka  Arusha, anaishi  kitongoji  cha Buravanyota  ndiye  ameyatuma..yanadai  yapo 300  chooni, 200  darasani  na  600  kwenye  mashamba  ya  waalimu “  alisema  Mchungaji  huyo.

Mchungaji  Wahika  aliongeza  kwa  kusema 
 
  Mengine  yanataja   wazee  watatu  wa  kitongoji  cha  Machengere  ndiyo  wanahusika “
Alidai  kuwa  chanzo  ni  ibada  za  sanamu  hasa kuabudu  Machaba  ambao  ni  mzimu wao  kwa  sababu  nao  ni  pepo.

Comments

Popular posts from this blog

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ya  kupata  wapenzi  wa  kike  ama  kuoa  na  wengine  huendelea  na  tabia  hiyo  hata  baada  ya  kuoa .  Zipo  sababu  mbalimbali  zinazo  wapelekea  wanaume  kupiga  punyeto, ila  kubwa  kati  ya  hizo  ni  pamoja  na  kutokuwa  na  wapenzi, kutokuwa  na  wapenzi  wanao  kidhi vigezo  vyao, kuwa  katika  mazingira  yasiyokuwa  na  wanawake  ( mfano  katika  shule  za  sekonda

CHANZO NA TIBA ASILIA YA TONSILS

Dawa ya TONSILS ni (kugargar)  kusukutuwa maji yalokuwa si moto sana pamoja na chumvi mara 4 kwa siku yafike kooni. Pia unatakiwa usitumie pili pili manga wala tangawizi. Kwani watu wengi utasikia wanakunywa chai ya tangawizi na soup iliyojazwa pili pili manga. Kumbe unaona vizuri wakati unapokunywa lakini huwa unayavimbisha matonsils kwani baada ya nusu saa utaona unaumwa kuliko mwanzo na homa kuja juu. Uzuri kuwa unakunywa maji ya moto moto. Vile vile kuchukuwa mdomo wako na kuweka kwenye goti na kuwa unalipuliza bila kutoka pumzi mara kwa mara na kama hufikii goti lako basi unaweza kuchukuwa kanga na kufanya mfano wa mpira na kuwa unapuliza kila utakapokuwa na wakati, hii pia inasaidia. Usiwe unazungumza sana isipokuwa kwa dharura kwani ujaribu utakavyoweza upepo usipite kwenye mdomo wako. Sio lazima unywe maji baridi ndio upate Tonsils mfano A/c linapofanya kazi upepo wa baridi unapita kwenye mdomo wako basi unapata Tonsils Au wakati unapolala na A/c linafanya ka

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na  kuwa  mgumu  kama  msumari. Na  hatua  ya  pili   ni  lazima, uume  wake  uendelee  kusimama  kwa  muda  mrefu  wakati  wa  tendo  la  ndoa.  Hatua  zote  mbili  zinapo  kamilika, ndipo  tunapo  pata  kitu  kinaitwa  STRONGER  AND  LONGER  ERECTION JINSI  HATUA  ZA  KUSIMAMA  KWA  UUME  ZINAVYO  TOKEA. 1. HATUA    YA  KWANZA: DAMU  KUTIRIRIKA  KWA