Skip to main content

Posts

Showing posts from November, 2013

MAUA MBALIMBALI NA MAANA ZAKE

Chamomile  = Patience  Angelica  =  Inspiration.  Basil  =  Goodwishes  Aloe  =  Healing, Protection  &  Affection.  Kama    tulivyo   ahidi   katika   makala   yetu   iliyo   pita, tutakuwa   tukiwaletea   makala   kuhusu   maua   mbalimbali   na   maana   zake. Leo   tunakuletea   makala   kuhusu   maua   aina   tano   pamoja   na   maana   zake. Bay  Flower =  Glory   

MAELFU WAFURIKA KWENYE MTO WA UPONYAJI!

Watu  wakioga  kwenye   kwenye  mto wa  Orimiri  Jordan Maelfu   ya     watu   kutoka    maeneo   mbalimbali   ya   nchini   Nigeria   na   nchi   za   jirani   wanaendelea   kumiminika   katika    mto   wa   ajabu   ulio   batizwa   jina    Orimiri   Jordan   yaani   Mto   Yordani, kwa   ajili   ya   kupata     tiba   ya   magonjwa   na   matatizo   mbalimbali   yanayo   wakabili.  Vyombo  vya  habari  nchini  Nigeria, vimekuwa  vikiripoti  mamia  ya  shuhuda  kutoka  kwa  watu  mbalimbali  walio  pokea  uponyaji     kwenye  mto  huo  wa maajabu. Watu  wakiwa  kwenye  foleni  ya  kuingia  kwenye  mto  wa  uponyaji. Taarifa  zinasema  kuwa, siku  ya   tarehe  11  Novemba  2013  mfugaji  mmoja  kutoka  katika  jamii  ya  wa  Fulani  alikuwa   anachunga   mifugo  wake  katika  eneo    moja  linalo julikana   Nachi  Orji   lililopo  katika  jimbo  la  Enugu.  Taarifa  zaidi  zinasema  kuwa  mtu  huyo  baada  ya  kupita  katika  eneo  hilo  ghafla  eneo  hilo  lilifunikwa 

NGUVU YA MAUA KATIKA KUIMARISHA UTULIVU WA AKILI NA NAFSI YA MWANADAMU:

 Bustani  ya  Gethsemane.  Hapa  ni mahali ambapo  Yesu Kristu  na  wanafunzi  wake  kama vile  Petro, Yakobo  na   Yohana  walifika  kwa  ajili  ya  kufanya  sala  na  maombi. Huko   uchina   ya   kale   kulikuwa   na   msemo   usemao   “   Kama   una   mikate   miwili, uza   mmoja   na   pesa   utakayo   ipata   itumie   kununua   Ma ua “.     Hapa   kwetu   Tanzania, miaka   ya   tisini   na   kushuka   chini   kulikuwa   na   imani   iliyo   jengeka   miongoni   mwa   watu   wengi   kuwa   maua   huwavuta   malaika   wazuri ama   ni   makazi   ya   malaika   wazuri   na   huleta   bahati   nzuri. Tulikuwa   tukiamini   kuwa, wazungu   hupendelea   kupanda   maua   mazuri   kwenye   nyumba   zao   ili   kuwavutia   malaika   wazuri   kwa   ajili   ya   kuzilinda   nyumba   zao   dhidi   ya   mambo   mbalimbali   mabaya.   Tukirudi   kwenye   maandiko   matakatifu, ni   maua   ndiyo   yanayo   tajwa    kuufunika   utukufu   wa    Mfalme    Suleiman.    "   Lakin

KARIBU KONFA BUSSINESS LODGE!

Best Lodge in Tanzania..Five star room standard....Haya ni maneno wasemayo waliofika KONFA" the place is nice, very neat, delicious b/fast, beautiful atmosphere and ofcourse the price is very reasonable, u get food by ordering and not at late hours. its a good place when one need a quiet atmosphere with ua loved one. better visit oooo" Karibu sana Huduma zetu ni nzuri...utafurahia....Kitu kipya ndani ya jiji.Bei zetu ni kuanzia 60,000 ... Tupo MBEZI BEACH - GOIGI DAR ES SALAAM TANZANIA ,nyuma ya jengo la SHAMO PARK HOUSE.Au tupigie kwa simu No. +255714 319 090 au +255753 888 444.KARIBU SANA

KUSAMEHE NI TIBA YENYE NGUVU SANA!

When you choose forgiveness, you commit an act of love to yourself as well as the person you’re forgiving . To forgive is to liberate yourself from the poison of anger and resentment, as well as release the individual who has wronged you from the guilt that may be weighing them down. Here are 5 inspirational quotes from people who recognized the power of forgiveness:  ”To forgive is to set a prisoner free and discover that the prisoner was you.”  – Louis B. Smedes “Am I not destroying my enemies when I make friends of them?” — Abraham Lincoln “We must develop and maintain the capacity to forgive. He who is devoid of the power to forgive is devoid of the power to love. There is some good in the worst of us and some evil in the best of us.” — Martin Luther King “I will permit no man to narrow and degrade my soul by making me hate him. ” — Booker T. Washington “Forgiveness is me giving up my right to hurt you for hurting me.”  – Anonymous

KUKUMBATIA NI TIBA YENYE NGUVU YA AJABU

Hugging     is   good   medicine. It   transfer   energy   and   gives   a   person   hugged   an   emotional   lift. You   need   four   hugs   a   day   for   survival, eight   for   maintenance   and   twelve   for    growth.   Scientists    say   that   hugging   is   a   form   of   communication    because   it   can   say   things   you don’t      the   have   words   for.   And   the   nicest   thing   about    a   hug   is   that   you   usually   cant give   one   without   getting   one.

CHRISTIANO RONALDO ASAIDIA WATOTO WENYE UPUNGUFU WA DAMU.

 CR7  akiwa  na  watoto  aliowapa  msaada  CR7    CHRISTIANO   RONALDO   ASAIDIA     WATOTO   WENYE   UPUNGUFU   WA   DAMU. SUPASTAA   Christiano   Ronaldo   ameweka   kando   mambo   ya   ndani   ya   uwanja   na   kuonyesha   uungwana   mkubwa   kwa    kusaidia   watoto   wenye   matatizo   ya   upungufu   wa   damu. Fowadi   huyo   wa   Real   Madrid   na   timu   ya   taifa   ya   Ureno   aayepewa    nafasi   kubwa   ya   kutwaa   tuzo   ya   Ballon d’Or   Januari   mwakani, alikwenda    kwenye   Studio   za   Cadena   Cope, ambapo   watoto   wane   wenye   matatizo   hayo   walikuwa   wakimsubiri. Staa   huyo   mwenye   umri   wa   miaka   28   pia   aliwapa   watoto   hao   kila   mmoja   jezi   yake   ya   Real   Madrid   iliyokuwa   imeandikwa   “ Ronaldo   7 “ mgongoni   na   kasha   akapiga   nao   picha   ya   pamoja. “   Siku   zote   nipo   tayari   kusaidia   watoto”   alisema   staa   huyo   alipozungumza   na   101greatgoals.com. “   Kama    nitash

CHANZO, ATHARI , KINGA NA TIBA YA UGONJWA WA MANJANO.

 Mwathirika  wa  Ugonjwa  wa  Manjano  CHANZO, ATHARI   , KINGA     NA   TIBA   YA   UGONJWA   WA   MANJANO. Ugonjwa     wa   Manjano      ambao   hufahamika   kitaalamu   kama   HEPATITIS   B   ni   hatari   sana   na   umesababisha   vifo   vya   mamilioni   ya   watu   duniani   kote.     Kwa   mujibu   wa   ripoti   ya   Shirika   la   Afya   Duniani   ( W.H.O )    kuna   zaidi   ya   wau   Milioni   350   duniani   ambao   wameathiriwa   na   ugonjwa   huu   hatari    kabisa   na   zaidi   ya   watu   620,000   hufa   kila   mwaka   kwa   ugonjwa   wa   Manjano. CHANZO     CHA   UGONJWA   WA   MANJANO Ugonjwa   wa   Manjano   husababishwa   na   virusi   viitwavyo   “ Hepatitis   B “ (   HBV )   ambavyo   hushambulia     zaidi ini   la   mwanadamu.    Virusi   hivi   visipo   tibiwa   mapema   hutengeneza   uvimbe   katika   ini   na   kusababisha   asratani   ya   ini   ambayo   hupelekea   kifo. MAMBO   YASABABISHAYO   MAAMBUKIZI   YA   UGONJWA   WA   MANJAN