Skip to main content

MZIGO MPYA UMEINGIA SOKONI



Neema  Herbalist  tunapenda  kuwafahamisha  wateja  wetu  kuwa  sasa  tumeingiza   dawa  mbalimbali za  asili  zinazo  tibu  magonjwa  mbalimbali  kama  yalivyo  orodheshwa  hapo chini. Dawa  zetu  ni dawa  za  mimea  ( herbal ) ambazo  hazijachanganywa  na  kemikali  yoyote. Tunapatikana  katika  eneo  la  CHANGANYIKENI  karibu  na  CHUO  CHA  TAKWIMU. Wasiliana  nasi  kwa  SIMU:  0766538384.  Kwa  wateja  waliopo  Dar  Es  salaam  ambao  hawawezi  kufika  ofisini  kwetu, utaletewa  dawa  mahali  ulipo, kwa  wateja  wa  mikoani  mtatumiwa  dawa  kwa  njia  ya  mabasi, kwa  wateja  waliopo Zanzibar mtatumiwa  dawa  kwa  njia  ya    meli, kwa  wateja  waliopo  nje  ya  Tanzania, tunawatumia  dawa  kwa  njia  ya   DHL  au  Posta  kulingana  na  nchi  waliyopo.  Orodha  ya  baadhi  ya  dawa  tulizonazo  ni  pamoja  na  :

1.                             Dawa  kwa  faida ya Afya kwa ujumla:
2.                             Dawa  Ya  Kuongeza  CD4  kwa  waathirika  watu  wanaoishi  na  V.V.U
3.                             Dawa   Ya  Sukari.
4.                             Kutibu  Vipele Vya  Usoni (chunusi) Na Ngozi:
5.                               Kutibu  Upara (Alopeshia):
6.                              Kutibu  Pumu:(  Asthma  )

7.                             Kuumwa kwa Mgongo (Sehemu ya Chini): .
8.                              Mwiba Wa Nyuki Na Nyigu:
9.                             Kibofu cha Mkojo/Figo:
10.                        Jiwe La Figo:
11.                        Maathiriko Ya Figo:
12.                        Mafua:
13.                        Kikohozi:
14.                        Bawasiri:
15.                        Shinikizo la damu (high blood pressure):
16.                        Uwasho Na Maumivu Ya Jino Na Ufizi:
17.                        Kumbukumbu (memory):
18.                        Utaratibu Wa Ulinzi Wa Mwili:
19.                        Jaundice:
20.                        Maumivu Sugu ya kichwa (Maumivu ya kichwa ya upande mmoja, maumivu ya kichwa):
21.                        Ngozi kavu:
22.                        Upepo:
23.                        Minyoo:
24.                        Kunyonyoka Nywele
25.                        Maumivu ya Kichwa
26.                        Ukosefu Wa Usingizi
27.                        Chawa Na Mayai Yake
28.                        Kisunzi Na Maumivu Ya Sikio
29.                        Upaa Na Mabaka
30.                        Malengelenge ya Neva katika Ngozi
31.                        Maradhi Ya Wanawake Na Uzazi
32.                        Meno Na Maumivu Ya Mafido na Koo
33.                        Maradhi Ya Tezi
34.                        Chunusi (Acne)
35.                        Maradhi Yote ya Ngozi
36.                        Sugu (Chunjua) (Wart)
37.                        Kuung`arisha Uso Na Kuurembesha
38.                        Kuunganisha Mvunjiko Haraka
39.                        Mvilio Wa Damu (Contusion)
40.                        Baridi Yabisi (Rheumatism)
41.                         (Ki) Sukari (Diabetes)
42.                        Shinikizo la Damu (High Blood)
43.                        Uvimbe Wa Figo(Nephritis)
44.                        Kuvunjavunja Vijiwe Vya Tumboni
45.                        Kukojoa Kwa Maumivu (Dysuria)
46.                        Kukojoa Bila Kukusudia
47.                        Jongo (Edema)
48.                        Kifuko Cha Nyongo Na Vijiwe Vyake
49.                        Wengu
50.                        Maradhi Yote ya Kifua na Baridi
51.                        Moyo na Mzungukoa wa Damu
52.                        Mchango (Msokoto Wa Tumbo) (Colic)
53.                        Kuhara
54.                        Uziwi.
55.                        Gesi Na Maumivu
56.                        Asidi (Acidness)
57.                        Uvimbe Wa Tumbo
58.                        Maradhi Ya Macho
59.                        Amiba (Vijidudu) (Amebiasis)
60.                        Kichocho (Bilharziasis)
61.                        Kutoa Wadudu Tumboni
62.                        Utasa
63.                        Tezikibofu (Prostate gland)
64.                        Pumu (Asthma)
65.                        Kidonda
66.                        Saratani (Cancer)
67.                        Nguvu Za Kiume
68.                        Udhaifu kwa Ujumla.
69.                        Kuleta Hamu Ya Kula
70.                        Kutibu Ulegevu Na Uvivu
71.                        Nishati akilini Na Wepesi Wa Kuhifadhi

Comments

Popular posts from this blog

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ya  kupata  wapenzi  wa  kike  ama  kuoa  na  wengine  huendelea  na  tabia  hiyo  hata  baada  ya  kuoa .  Zipo  sababu  mbalimbali  zinazo  wapelekea  wanaume  kupiga  punyeto, ila  kubwa  kati  ya  hizo  ni  pamoja  na  kutokuwa  na  wapenzi, kutokuwa  na  wapenzi  wanao  kidhi vigezo  vyao, kuwa  katika  mazingira  yasiyokuwa  na  wanawake  ( mfano  katika  shule  za  sekonda

CHANZO NA TIBA ASILIA YA TONSILS

Dawa ya TONSILS ni (kugargar)  kusukutuwa maji yalokuwa si moto sana pamoja na chumvi mara 4 kwa siku yafike kooni. Pia unatakiwa usitumie pili pili manga wala tangawizi. Kwani watu wengi utasikia wanakunywa chai ya tangawizi na soup iliyojazwa pili pili manga. Kumbe unaona vizuri wakati unapokunywa lakini huwa unayavimbisha matonsils kwani baada ya nusu saa utaona unaumwa kuliko mwanzo na homa kuja juu. Uzuri kuwa unakunywa maji ya moto moto. Vile vile kuchukuwa mdomo wako na kuweka kwenye goti na kuwa unalipuliza bila kutoka pumzi mara kwa mara na kama hufikii goti lako basi unaweza kuchukuwa kanga na kufanya mfano wa mpira na kuwa unapuliza kila utakapokuwa na wakati, hii pia inasaidia. Usiwe unazungumza sana isipokuwa kwa dharura kwani ujaribu utakavyoweza upepo usipite kwenye mdomo wako. Sio lazima unywe maji baridi ndio upate Tonsils mfano A/c linapofanya kazi upepo wa baridi unapita kwenye mdomo wako basi unapata Tonsils Au wakati unapolala na A/c linafanya ka

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na  kuwa  mgumu  kama  msumari. Na  hatua  ya  pili   ni  lazima, uume  wake  uendelee  kusimama  kwa  muda  mrefu  wakati  wa  tendo  la  ndoa.  Hatua  zote  mbili  zinapo  kamilika, ndipo  tunapo  pata  kitu  kinaitwa  STRONGER  AND  LONGER  ERECTION JINSI  HATUA  ZA  KUSIMAMA  KWA  UUME  ZINAVYO  TOKEA. 1. HATUA    YA  KWANZA: DAMU  KUTIRIRIKA  KWA