Skip to main content

MAELFU WAFURIKA KWENYE MTO WA UPONYAJI!


Watu  wakioga  kwenye   kwenye  mto wa  Orimiri  Jordan
Maelfu  ya    watu  kutoka   maeneo  mbalimbali  ya  nchini  Nigeria  na  nchi  za  jirani  wanaendelea  kumiminika  katika   mto  wa  ajabu  ulio  batizwa  jina   Orimiri  Jordan  yaani  Mto  Yordani, kwa  ajili  ya  kupata    tiba  ya  magonjwa  na  matatizo  mbalimbali  yanayo  wakabili.
 Vyombo  vya  habari  nchini  Nigeria, vimekuwa  vikiripoti  mamia  ya  shuhuda  kutoka  kwa  watu  mbalimbali  walio  pokea  uponyaji     kwenye  mto  huo  wa maajabu.

Watu  wakiwa  kwenye  foleni  ya  kuingia  kwenye  mto  wa  uponyaji.
Taarifa  zinasema  kuwa, siku  ya   tarehe  11  Novemba  2013  mfugaji  mmoja  kutoka  katika  jamii  ya  wa  Fulani  alikuwa   anachunga   mifugo  wake  katika  eneo    moja  linalo julikana   Nachi  Orji   lililopo  katika  jimbo  la  Enugu.  Taarifa  zaidi  zinasema  kuwa  mtu  huyo  baada  ya  kupita  katika  eneo  hilo  ghafla  eneo  hilo  lilifunikwa  na  maji  na  kuonekana  kama  mtu.   Baada  ya  kushuhudia  tukio  hilo, mfugaji  huyo  alipeleka  habari  hizo  kwa  wenyeji  wa  eneo  hilo  akiwaambia  kuwa   maji  yameonekana  ghafla  katika  eneo  ambalo  halikuwa  na  maji. 

Mmoja kati  ya wazee  wenyeji  wa  eneo  ulipo  tokea  mto  huo  wa  maajabu, akitoa  maelezo  kwa  waandishi  wa  habari kuhusu   mto  huo  wa  maajabu.

Taarifa  zilisambaa  kwa  haraka  sana   kuanzia  kwa  wakazi  wote  wa  eneo  hilo, jimbo  la  Enugu  na  nchi  nzima  ya  Nigeria.
Ilifahamika  kuwa  wazee  wa  eneo  hilo  wanasema  si  mara  ya  kwanza  kwa  mto  huo  kutokea,  kwani  mara  ya  mwisho  mto  huo   ulitokea  ghfala  mnamo  mwaka  1971  na  kwamba  watu  mbalimbali  waliponywa  magonjwa  na  matatizo  yao  baada  ya  kuoga  katika  mto  huo  wa  maajabu.
Baada  ya  kuenea  kwa  taarifa  kuhusu  mto  huo, mamia  kwa  maelfu  ya  wananchi  wa  Nigeria  na  nchi  jirani  wamekuwa  wakifika  na  kuoga  katika  mto  huo  kwa  nia  ya  kupata  suluhisho  la  matatizo  mbalimbali  yanayo  wakabili.
Mpaka  wakati  huu, bado  hayajapatikana  maelezo  yoyote  ya  kisayansi  kuhusu  tukio  hilo  la  ajabu.
Kwa  habari  zaidi, tembelea  : http://naijagists.com/healing-river-orimiri-jordan-in-enugu-state-nigeria-fulanis-found-mysterious-pool-in-nachi-orji/

Comments

Popular posts from this blog

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ya  kupata  wapenzi  wa  kike  ama  kuoa  na  wengine  huendelea  na  tabia  hiyo  hata  baada  ya  kuoa .  Zipo  sababu  mbalimbali  zinazo  wapelekea  wanaume  kupiga  punyeto, ila  kubwa  kati  ya  hizo  ni  pamoja  na  kutokuwa  na  wapenzi, kutokuwa  na  wapenzi  wanao  kidhi vigezo  vyao, kuwa  katika  mazingira  yasiyokuwa  na  wanawake  ( mfano  katika  shule  za  sekonda

CHANZO NA TIBA ASILIA YA TONSILS

Dawa ya TONSILS ni (kugargar)  kusukutuwa maji yalokuwa si moto sana pamoja na chumvi mara 4 kwa siku yafike kooni. Pia unatakiwa usitumie pili pili manga wala tangawizi. Kwani watu wengi utasikia wanakunywa chai ya tangawizi na soup iliyojazwa pili pili manga. Kumbe unaona vizuri wakati unapokunywa lakini huwa unayavimbisha matonsils kwani baada ya nusu saa utaona unaumwa kuliko mwanzo na homa kuja juu. Uzuri kuwa unakunywa maji ya moto moto. Vile vile kuchukuwa mdomo wako na kuweka kwenye goti na kuwa unalipuliza bila kutoka pumzi mara kwa mara na kama hufikii goti lako basi unaweza kuchukuwa kanga na kufanya mfano wa mpira na kuwa unapuliza kila utakapokuwa na wakati, hii pia inasaidia. Usiwe unazungumza sana isipokuwa kwa dharura kwani ujaribu utakavyoweza upepo usipite kwenye mdomo wako. Sio lazima unywe maji baridi ndio upate Tonsils mfano A/c linapofanya kazi upepo wa baridi unapita kwenye mdomo wako basi unapata Tonsils Au wakati unapolala na A/c linafanya ka

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na  kuwa  mgumu  kama  msumari. Na  hatua  ya  pili   ni  lazima, uume  wake  uendelee  kusimama  kwa  muda  mrefu  wakati  wa  tendo  la  ndoa.  Hatua  zote  mbili  zinapo  kamilika, ndipo  tunapo  pata  kitu  kinaitwa  STRONGER  AND  LONGER  ERECTION JINSI  HATUA  ZA  KUSIMAMA  KWA  UUME  ZINAVYO  TOKEA. 1. HATUA    YA  KWANZA: DAMU  KUTIRIRIKA  KWA