Skip to main content

JITIBU MAGONJWA MBALIMBALI KWA KUTUMIA MAFUTA YA NAZI ;

Mafuta  ya  nazi  ni  dawa  ya  kuondoa  tatizo  la  fangasi  za  miguuni.







JITIBU  MAGONJWA  MBALIMBALI  KWA  KUTUMIA  MAFUTA  YA  NAZI ;
Katika  makala  mbili  zilizopita  tumeona  faida  mbalimbali  za  kiafya  zitokanazo  namatumizi  ya  mafuta  ya  nazi  kama  chakula  au  kama  urembo. Makala  haya  yanahusu  namna  unavyo weza  kutumia  mafuta  ya  nazi  kutibu  magonjwa  na / au  matatizo  mbalimbali  ya  kiafya :

1.     Michubuko  (Au  Vidonda  ) Kwenye  sikio: Kujitibu   sikio, chukua  pamba  chovya  kwenye  mafuta  ya  nazi  kisha  paka   kwenye  sehemu yenye  mchubuko. Fanya  hivyo  mara  mbili  kwa  siku  asubuhi  na  jioni  mpaka  tatizo  lako  litakapo  isha.

2.     Kujitibu Fangasi  za  Miguuni : Changanya  mafuta  ya  nazi  na  mafuta  ya  oregano  au  maji  ya  mchai chai  kisha  tumia  kujipaka  kwenye  sehemu  iliyo  athirika  mara  mbili  kwa  siku  hadi  tatizo  lako  litakapo  isha.

3.     Kuondoa  ukavu  ukeni  ;  Jipake  mafuta  ya  nazi  mara  mbili  kwa  siku  kwa  muda  siku  ishirini  na  moja  na  tatizo  lako  litaisha. Jipake kila  mara  utakapo hisi  tatizo  limekurejea  tena.

4.     Madoa  na  miwasho  ya  kwenye  ngozi :  Jipake  mafuta  ya nazi  kwenye  sehemu  iliyo  athirika  mara  mbili  kwa  siku  kwa  muda  wa  siku  ishirini  na  moja.

5.    Tatizo  la  Bawaziri  au  uvimbe  kwenye  sehemu  ya  haja  kubwa : Tumia  kujipaka  mafuta  ya  nazi  mara  mbili  kwa  siku  kwa  muda  wa  siku  thelathini  na  tatizo  lako  litakwisha.

6.     Kama  umeumwa  na  nyuki  au  siafu   tumia  mafuta  ya  nazi  kujipaka  kwenye  eneo  ulilo n’gatwa  mara  mbili  kwa  siku  kwa  muda  wa  siku  saba.

7.     Kuvuja  damu  puani   ; Jipake  mafuta  ya  nazi  sehemu  ya  ndani  ya  pua  zako.

8.    Kuondoa  Tatizo  la  Chawa  wa  kIchwani  : Tumia  kujipaka  mafuta  ya  nazi kichwani  mara  mbili  kwa  siku  kwa  muda  wa  siku  ishirini  na  moja  na  tatizo  lako  lote  litakwisha.
Siku  za  mbeleni  tuandika  makala  kuhusu  matumizi  mengineyo  ya  mafuta  ya  nazi.

Comments

Popular posts from this blog

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ya  kupata  wapenzi  wa  kike  ama  kuoa  na  wengine  huendelea  na  tabia  hiyo  hata  baada  ya  kuoa .  Zipo  sababu  mbalimbali  zinazo  wapelekea  wanaume  kupiga  punyeto, ila  kubwa  kati  ya  hizo  ni  pamoja  na  kutokuwa  na  wapenzi, kutokuwa  na  wapenzi  wanao  kidhi vigezo  vyao, kuwa  katika  mazingira  yasiyokuwa  na  wanawake  ( mfano  katika  shule  za  sekonda

CHANZO NA TIBA ASILIA YA TONSILS

Dawa ya TONSILS ni (kugargar)  kusukutuwa maji yalokuwa si moto sana pamoja na chumvi mara 4 kwa siku yafike kooni. Pia unatakiwa usitumie pili pili manga wala tangawizi. Kwani watu wengi utasikia wanakunywa chai ya tangawizi na soup iliyojazwa pili pili manga. Kumbe unaona vizuri wakati unapokunywa lakini huwa unayavimbisha matonsils kwani baada ya nusu saa utaona unaumwa kuliko mwanzo na homa kuja juu. Uzuri kuwa unakunywa maji ya moto moto. Vile vile kuchukuwa mdomo wako na kuweka kwenye goti na kuwa unalipuliza bila kutoka pumzi mara kwa mara na kama hufikii goti lako basi unaweza kuchukuwa kanga na kufanya mfano wa mpira na kuwa unapuliza kila utakapokuwa na wakati, hii pia inasaidia. Usiwe unazungumza sana isipokuwa kwa dharura kwani ujaribu utakavyoweza upepo usipite kwenye mdomo wako. Sio lazima unywe maji baridi ndio upate Tonsils mfano A/c linapofanya kazi upepo wa baridi unapita kwenye mdomo wako basi unapata Tonsils Au wakati unapolala na A/c linafanya ka

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na  kuwa  mgumu  kama  msumari. Na  hatua  ya  pili   ni  lazima, uume  wake  uendelee  kusimama  kwa  muda  mrefu  wakati  wa  tendo  la  ndoa.  Hatua  zote  mbili  zinapo  kamilika, ndipo  tunapo  pata  kitu  kinaitwa  STRONGER  AND  LONGER  ERECTION JINSI  HATUA  ZA  KUSIMAMA  KWA  UUME  ZINAVYO  TOKEA. 1. HATUA    YA  KWANZA: DAMU  KUTIRIRIKA  KWA