Skip to main content

Posts

Showing posts from February, 2012

NAFASI ZA KAZI YA UWAKALA WA USAMBAZAJI VITABU

NAFASI    ZA    KAZI   YA   UWAKALA   WA   USAMBAZAJI   VITABU Neema   Herbalist &   Nutritional   Foods   Clinic   ni   wauzaji   wa   dawa   za   asili   kutoka   Tanzania.   Pia   ni   waratibu   wa   Mradi   wa   Vitabu   Vya    Elimu   Ya   Tiba   Mbadala . “ MRAVIETI”.    Mradi   uliolenga   katika   kutoa   elimu   ya   tiba    ya     ya   asili   kwa   njia   ya   vitabu   kuhusu   magonjwa   mbalimbali   yanayo   wakabili   wanadamu. Kupitia   Mradi   huu, tunatangaza   nafasi   za   kazi    ya   uwakala   wa   usambazaji   vitabu   vyetu   katika   maeneo   mbalimbali   nchini   Tanzania. SIFA   ZA   MWOMBAJI 1.        Umri     miaka    18   hadi   45. 2.        Elimu   kuanzia   kidato   cha   nne,   sita   na   kuendelea. 3.        Awe    raia   wa   Tanzania. 4.        Uwezo   wa   kuwasiliana   kwa   ufasaha   kwa   lugha   za   Kiswahili   na   kiingereza. 5.        Awe   maridadi   na   anaye   jituma   sana   kazini. 6.        Akiwa   na   uzoefu   na   masual