Skip to main content

Posts

Showing posts from October, 2011

DAWA SAFI YA CHUNUSI

Chunusi husababishwa na kuongezeka kwa uzalishaji wa Testosterone hormone na mafuta yamwili wakati wa mabadiliko ya kimwili pia husababishwa na msongo wa mawazo, matatizo ya kisaikolojia. Product kama Tea Tree Oil, Aloe Vera, Zinc, and Vitamin A ni vitu vya kihalisi vinavyo weza kutibu chunusi na kuna baadhi ya product hazishauriwi kutumiwa na mtu kama unaujauzito au unatatizo la kiafya hivyo unatakiwa kuwasiliana na dactari kabla ya kutumia kwa ushauri. Kabla ya kuoga ponda nyanya changanya na asali na maji ya roses na paka nyanya kwenye uso wako kaa nayo kwa muda wa dakika 20 kabla ya kuosha. Pia jambo la muhumu kwa mtu anayesumbuliwa na chunusi ni kunywa maji kwa angalau lita 3 kila siku pia ni muhimu sana kwa ngozi yako, matunda fresh na mboga za majani kwenye diet yako. Vitu unavyotakiwa kuepuka ni kugusa uso wako mara kwa mara, epusha nywele kugusa uso wako na kutumbua chunusi kiholela. Pia epuka kupaka make up nyingi usoni ni vizuri kutopaka make up kabisa u

CHANZO CHA HARUFU MBAYA YA KINYWA.

Kuna  idadi  kubwa  sana  ya  watu  wanao  sumbuliwa  na  tatizo  la  kutokwa  na  harufu  mbaya  ya  kinywa.  Hakuna  ugonjwa  unao  aibisha  na  kutweza  kama  kutokwa  na  harufu  mbaya  ya  kinywa. NINI  CHANZO  CHA  HARUFU  MBAYA  YA  KINYWA?  1. Harufu  mbaya  ya  kinywa  husababishwa  na  aina  ya  bacteria  anayeishi  kwenye  tishu  ndogo kwenye sehemu  ya  mgongo  wa  kinywa ( Hususani  kwenye  sehemu  ya  nyuma  ya  ulimi ). Bacteria  huyu  ndiye  husababisha   harufu  mbaya  ya  kinywa. Bacteria  huyu  anapozaliana  na  kukomaa  hutoa  gesi  inayoitwa "Putrid  sulfur  gas" ambayo  ndio husababisha    harufu  mbaya  ya  kinywa. Kama  mtu  anayesumbuliwa  na  tatizo  hili  hatopata  tiba  sahihi  anaweza  kuendelea  kuteswa  na  tatizo  hili  kwa  sababu  hakuna  aina namna  yoyote  ya  upigaji   mswaki  ama  uoshaji  kinywa  inayoweza  kumfikia  bakteria  huyu  hata  kama  uoshaji  huo  utafanyika  kila  siku  na  utachukua  muda  mrefu  kiasi  gani. 2. Chanz

" ASHKHI" KIMBILIO LA AKINA MAMA WENYE TATIZO LA KUTOFIKA KILELENI.

Wanawake  wengi  nchini  na  duniani  kwa  ujumla  wanasumbuliwa  na  tatizo  la kukosa  hamu  ya  kufanya  tendo  la  ndoa  ( LACK  OF  LIBIDO ) pamoja  na  tatizo  la  kutofika  kileleni.  Sababu  zinazo  changia  tatizo  hili  zimegawanyika  katika  makundi  makuu  mawili :  (  A  )  Sababu  za  Kisaikolojia { Psychological )  na  (  B  )  Sababu  za  Kimwili  {  Physical  } A.  SABABU  ZA    KIMWILI  "  PHYSICAL" 1.  Anaemia  (   ugonjwa  huu  ni  very  common  kwa  wanawake  kwa  sababu  ya  kupoteza  madini   ya  chuma  wakati  wa   hedhi  ) 2. Ulevi  Kupita  kiasi  (  Alcoholism  ) 3. Utumiaji  wa  Dawa   Za  Kulevya  ( Kama  Vile  bangi  n.k  ) 4. Magonjwa  makubwa  kama  vile  kisukari. (  Sababu  zipo  nyingi  sana, hizi  ni  baadhi  tu  ) B :  SABABU  ZA  KISAIKOLOJIA  " PSYCHOLOGICAL " 1. Depression   2. Stress  and  overwork 3Anxiety  "  Woga" 4. Kunyanyaswa  kijinsia  ama  kubakwa  wakati  wa  utotoni 5   Kuwa  katika  matati

DAWA YA KUONGEZA ASHKI YA TENDO LA NDOA KWA WANAWAKE.

Wanawake  wengi  hawafurahii   ndoa  zao  kwa  sababu   hawana  askhi  ya  kufanya  tendo  la  ndoa. Wengine  wamepatwa  na  tatizo hilo  ukubwani, wengine  wapo  na  tatizo  hilo  tanfu  utotoni.Halii  hii  imewatesa  wanawake  wengi  na  kuwafanya  wengine  kufikia  hata  kujaribu  kujamiiana  kwa  njia  zisizo  stahili  ili  kupata  " sexual  satisfaction ".  Neema  Herbalist &  Nutritional Foods  Clinic   tunayo  dawa  safi  na  ya  asili  itakayo  maliza  tatizo  lako.  Wasiliana  nasi  kwa  simu  namba  0767010756  au  0787010756  au  fika   ofisini  kwetu  Changanyikeni  karibu  na   Chuo  Cha  Takwimu.

CHANZO NA TIBA YA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME KWA WANAUME

Wanaume    wengi  wanasumbuliwa  na  tatizo  la  uungufu  wa  nguvu  za  kiume, hali  inayo  afanya  washindwe   kufurahia  tendo  la  ndoa  na  wenzi  wao  wa  kike. Hizi  ni  baadhi  ya  sababu  zinazo  sababisha  upungufu  wa  nguvu  za  kiume  kwa  wanaume. 1. Msongo  wa  akili. 2. Ulevi  kupita  kiasi. 3.Kupooza  kwa  mwili 4. Presha  na  ugonjwa  wa  kisukari. 5.Wasiwasi  wa  kutekeleza   tendo  la  ndoa 6. Uoga  wa  kufanya  tendo  la  ndoa. 7.Uzoefu  wa  kukatisha  tamaa  wa  siku  za  nyumaa 8. Mazingira  yasiyoridhisha  wakati  wa  tendo  la  ndoa. TIBA  (  HUWEZA  KUWASAIDIA  HATA  WANAWAKE  ) 1.  MLONGE/ NAZI. Chukua  nusu  kikombe  cha  maua  ya   mlonge, ongeza  kijiko  kimoja  cha  chai   cha  vumbi  la  machicha  ya  nazi.  Chemsha  katika  nusu   lita  ya  maji  kwa  muda  wa   dakika  15, kutengeneza  aina  ya  supu. Chuja  na  baada  ya  kupoa  kila  jioni  kunywa  nusu  glasi, saa  moja  kabla  ya  kwenda  kulala. Endelea  na  tiba  hii  kwa  muda  w

UNASUMBULIWA NA VIPELE VYA NDEVU? DAWA HII HAPA!

Wanaume  wengi  wa  kitanzania, wanasumbuliwa  na  tatizo  la  kutokwa  na  vipele  vya  ndevu  mara  baada  ya   kunyoa  ndevu  zao.  Hali  hii  huwafanya  wanaume  hawa  kupoteza  umaridadi  wao. Kama  wewe  ni  kijana  wa  kiume  na  una  tatizo  hilo   wasiliana  nasi  kwa  simu  namba   0767010756  au  0787 010756  tukupatie  dawa  ya  kienyeji  isiyo  na  side  effects  ambayo  itakuwa  ndio  suluhisho  la  tatizo  lako.  Karibu  Sana

Habari njema kwa watu wote wenye tatizo la kutokwa na harufu mbaya kwenye kikwapa, kinywani na sehemu za Siri.

Neema  Herbalist  and   Nutritional   Foods  Clinic, tunazo  dawa  safi za  asili  zinazo  tibu  magonjwa  yaliyo  tajwa  hapo  juu.  Kwa  tiba, wasiliana  nasi  kwa  simu  nambari   0767010756  au   0787010756  au fika  katika  ofisi  zetu  zilizopo  katika  eneo  la  Changanyikeni  jijini  Dar  es  salaam.